fbpx

Lolani Kalu – Biography

Miongoni mwa watangazaji ambao sauti zao zimesikika katika redio na televisheni kwa miaka mingi ni Lolani Kalu. Anasifika sana kutokana na kipindi chake cha Malimwengu katika runinga ya NTV. Kando na utangazaji, ni mwanamuziki, mwigizaji, mwandishi na mkalimani.
http://www.swahilihub.com

Click & Call!
%d bloggers like this: